Near NMB, Mbezi Bus Stand Mbezi Luis Mbezi Ubungo, Dar Es Salaam, Tanzania
Boss Emma ni biashara ya kipekee inayojishughulisha na uuzaji wa viwanja bora vya makazi na uwekezaji katika maeneo yenye maendeleo ya kasi. Viwanja vyetu vipo katika maeneo yenye miundombinu bora: Mbezi, Kibamba, Kiluvya na Kibaha. Vikindu na Kisemvule. Chamazi na Mbande. Chanika na Mvuti. Pia njiani Dodoma city. Wasiliana nasi kwa Uaminifu na Uwazi – Hakuna gharama za siri au mikataba michafu, Msaada wa Ushauri wa Uwekezaji – Tunakusaidia kuchagua kiwanja kulingana na mahitaji yako, Mikakati ya Malipo – Fursa ya kulipia kwa miraba au mpango wa miezi na Unaweza kulipia kidogokidogo
Huduma ya ushawishi wa biashara ya ardhi kati ya mnunuzi na muuzaji
Kupima na kutenga viwanja kisheria, kuweka alama za mpaka na kutoa hati rasmi
Kutangaza kiwanja, kutafuta wateja wa uhakika na kutoa ushauri kuhusu uwekezaji bora katika ardhi.